Loading...

NDUGU WA DK ULIMBOKA WAWAPIGA STOP WANAHABARI WALIOITWA KWENDA KUZUNGUMZA NA Dk ULIMBOKA


Askari wakilinda usalama jana wakati Dk. Ulimboka anafikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbi, kupata matibabu.

Mchana huu sakata limetokea kati ya ndugu wa Dk. Ulimboka na waandishi wa habari waliotakiwa na Ulimboka kufanya nao mkutano, kukukataliwa kuingia chama cha ICU, WAKIHOFIA USALAMA WAKE.

Licha ya madaktari kuwakubalia wanahabari kuingia lakini ndugu, akiwemo dadake walikataa katakata. Ndipo Madakatari walipoamiua kuchukua rekoda na kamera za wanahabari na kwenda kumpiga picha wao pamoja na kumrekodi.



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top