Loading...

PROFESA LIPUMBA KWENDA KUMJULIA HALI DK ULIMBOKA JIONI HII


Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), leo saa 10 jioni atakwenda kumtembelea kumjulia hali, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana baada ya kutekwa na kupigwa na watu wasiojulikanaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top