Loading...

Mauaji na kukosekana Umeme ni Kero Songea

Mji wa Songea na viunga kwasasa umegubikwa na mauaji ya kutisha sana, kitu ambacho kimekuwa kero kwa wakazi wa mji huu. Tatizo jingine ambalo ni kilio cha muda mrefu ni kukosekana kwa umeme. Ni kitu cha kawaida wakazi wa mji huu kukosa umeme kwa masaa zaidi ya 12. Waweza soma malalamiko zaidi ya wananchi wa songea kwa kubofya hapa. Pia habari hizi za mauaji zimeripotiwa na vyombo mbalimbali bofya hapa kusoma habari na kuangalia picha za watuhumiwa wa mauaji mjini Songea.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top