Loading...

AJALI YAHOFIA KUUA WATU ZAIDI YA WATANO MBEYA

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiongea baada ya tukio

Watu zaidi ya 30 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali iliyotokea wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Mtao taarifa wetu anasema kuwa ajali imetokea asubuhi ya leo maeneo ya shamba kubwa la mpunga katika kijiji mapogoro ambapo wakulima na vibarua mbalimbali walipanda gari hilo ili liwapeleke katika mashamba wanayofanyia kazi. Taarifa zaidi zitawajia. 

 
Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top