Loading...

Kinachoifanya Simba kuishangilia Zamalek

Yawezekana kitendo cha timu ya Yanga kuishangilia kwa nguvu timu ya TP Mazembe ya Kongo ndicho kinachowafanya mashabiki wa Simba kishangilia timu ya Zamalek ya Misri hii leo. Kikubwa kilichowakasirisha simba ni kitendo cha mashabiki wa yanga kununua na kuvaa jezi za TP Mazembe. Nao simba siku ya leo wameahidi kununua na kuvaa jezi za Zamalek ili kulipiza kisasi. 

(Mashabiki wa Yanga wakiwa wamevaa jezi za TP Mazembe na kuishangilia TP Mazembe)


(Shabiki wa Yanga katika moja ya mechi za Yanga)

Kila la heri Yanga uwanja wa Taifa na kila la heri Simba huko Rwanda.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top