Loading...

KIBANDA ASAFIRISHWA KWENDA KUTIBIWA AFRIKA YA KUSINI Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Absalom Kibanda, akiwa ndani ya Ndege ya Flightlink.

 Absalom Kibanda akiwa na mkewe ndani ya Ndege, Anjella Semaya, tayari kuanza safari ya kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa matibabu.(Picha na Amanitanzania)

 Baadhi ya waandishi na viongozi wa jukwaa la wahariri wakiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbi kwa ajili ya kumjulia hali.

 Absalom Kibanda akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kabla ya kusafirishwa kwenda Afrika ya kusini.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink wakimpandisha Absalom Kibanda ndani ya Ndege.

 akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimili


 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe akizungfumza na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la kutekwa kwa, Absalom Kibanda

 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe akimjulia hali Absalom Kipanda katika Hospitali ya Taifa ya Mhumbili Dar es Salaam. Picha na Amanitanzania

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ABSOLOM KIBANDA MUHIMBILI

2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 4
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, akionekana jinsi alivyojeruhiwa.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top