Loading...

MVUA YAONGEZA KERO YA MAFUTA SONGEA

Kero ya mafuta katika Manispaa ya Songea imeongezeka zaidi kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya usafiri baada ya mvua kubwa kunyesha na kuongozesha foleni. waendesha boda boda waliziacha pikipiki zao katika foleni huku wao wakijibanza pembeni. wapo ambao walikuwa tayari kuloana kama picha zinavyoonesha.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top