Loading...

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MKOANI RUVUMA WAKITOKEA ETHIOPIA

 

chanzo:songeahabari


 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Koku Lwebandiza akielezea jinsi walivyo fanikisha kuwa kamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia amesma wahamiaji wote 22 wata fikishwa mahakamani ili hukumu itolewe warudishwe kwao Ethiopia
 Wahamiaji Haramu Kutoka Ethiopia wakiwa katika ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma
 Ni wa hamiaji Haramu wakihojiwa na Asikari wa Uhamiaji jinsi walivyo ingia Nchini Tanzania wakitokea Ethiopia
Kama unavyo waona Wahamiaji hawa haramu wametoka Ethiopia na kupita mikoa mbalimbali ya Tanzania hadi kufika kijiji cha magazini katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma jee nani yuko kati yao hadi kumaliza mikoa yote ?
 Niajabu nakweli kwa wahamiaji hawa haramu kila wanapo kamatwa huwezi kuona mwanamke jee ni kweli hawa ni wa hamiaji haramu au kuna kitu kina fichwa ndani yaoPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top