Loading...

Mashabiki wa JKT Mlale ni balaa!

Wengi wetu ni mashabiki wa mpira, kikukweli nimewapenda sana mashabiki wa JKT Mlale kwa aina ya ushangiliaji wao. Kama umebahatika kuingia katika uwanja wa mpira majimaji utawaona mashabiki hao wakishangilia mwanzo hadi mwisho bila kuchoka. Kitu hicho ni moja ya hamasa kwa wachezaji wao. Mpira ukiisha mashabiki hao huendelea kushangilia kwa nusu saa zaidi kitu ambcho ni burudani tosha kwa watamaji wengine na wachezaji wao.
( Mashabiki na wachezaji wa JKT Mlale wakiselebuka baada ya ushindi dhidi ya Polisi Iringa)
Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top