Loading...

Mji wa Songea wazizima

Mji wote wa songea na viunga vyake upo kimya kabisa huku polisi wakionekana wanafanya patroo na kujaribu kuwa tawanya watu ambao watakuwa katika vikundi. Maduka yote yamefungwa na watu wamejawa na hofu kubwa. mirindimo ya risasi na mabomu ya machozi yanaendelea kurushwa hapa na pale kwenye mikusanyiko ya watu.

Polisi wakiwa kwenye patroo mchana huu2 comments

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top