Loading...

Songea shwari!

Mpaka mchana huu mji wa Songea umekuwa na utulivu ukilinganisha na siku ya jana. Watu wameonekana wakiendelea na shughuli zao kama kawaida huku wengine wakiwa katika vikundi wakijaribu kutafakari yale yaliyojiri jana na mustakabari wake.

Mchana wa leo kunatarajiwa kuwe na kikao cha mkuu wa mkoa na wananchi, hivyo wananchi wanajiandaa kwenda katika kikao hicho na kutoa dukuduku walilonalo kuhusu mambo yaliyojiri siku zilizopita.

Polisi nao wameonekana wapo katika doria katika gari lao wakizunguka mitaani.

Tutaendelea kupashana habari kadri matukio yanatokea.

Mchana mwema.

Wakazi wa Songea wakiendelea na shughuli za kila siku1 comments:

Tunachohitaji ni mabadiliko makubwa sana nchi hii, sio kutishiwa maisha na hawa polisi vibaraka. Nafikiri sasa muda wa kufanya mapinduzi umefika.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top