Loading...

Mbowe aunguruma mauaji ya SongeaKupitia mtandao wake wa facebook mwenyekiti wa CHADEMA Freema Aikaeli Mbowe anasema,

"Napenda kutoa pole zangu za dhati na masikitiko kwa ndugu zetu wana Songea kwa kile kilichojiri leo, kwa Jeshi la polisi kuendelea kufupisha maisha na idadi ya Watanzania wenzetu wasio na hatia pia kuwapa wengine vilema vya maisha kwa risasi utafikiri walikuwa ni majambazi, waharamia, nk! Je na tutaendelea kutoa pole zetu mpaka lini kwa makusudi ya Serikali ya Chama cha Mapinduzi na Jeshi la Polisi nchini?. Si wakati wa kumuogopa mtu sasa bali ni wakati wa Mapinduzi mwananchi amka."

Kauli hiyo ya Mbowe imeungwa mkono na wananchi mbalimbali bofya hapa kusoma maoni ya Watanzania kuhusu kauli hiyo.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top