Loading...

Waliokatwa katika maandamano wafikishwa mahakamani

Wananchi waliokamatwa katika maandamano yaliyofanyika juzi katika manispaa ya Songea wamefikishwa mahakamani asubuhi ya leo.

Taarifa za kina tutazitoa baadae.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top