Loading...

Songea yachafuta tena, mabomu mabomu mabomu

Jioni hii ya leo askari polisi wamerusha mabomu ya machozi sehemu mbalimbali za mji wa Songea kwa kile kinachodaiwa kuwatawanya waandamanaji. Habari zisizothibitishwa zinadai kwamba waendesha pikipiki maarufu kama yeboyebo hapa Songea walianza maandamano kwenda kituo cha polisi cha hapa Songea kwenda kuangalia watu waliokamatwa na polisi kwa tuhuma ambazo mwandishi wa habari hizi hajazipata.

Taarifa zaidi zitakujia kadri zinavyopatikana.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top