Loading...

yanga yawakata kilimilimi simba

Mchezo kati ya Yanga na Zamalek umemalizika kwa sare 1-1, muda mwingi mashabiki wa simba walikuwa mabubu hadi dakika ya 70 ndipo walipoaanza kuonesha tabasamu la hofu, tafauti na wakati na simba ilipocheza  na TP Mazembe mashabiki wa yanga walikuwa na furaha muda wote. Pongezi kwa wachezi wa yanga Nsajigwa, Kijiko na Niyonzima walionesha kiwango cha hali ya juu. Chuji na Mwasika walicheza kiwango cha chini.

Mabadiliko yaliyofanywa na Zamalek yalileta mabadiliko na mafanikio kwa timu hiyo hadi waliposawazisha goli.

Waamuzi wa mchezo walimudu kuuchezesha vizuri mchezo pongezi kwa Yanga.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top