Loading...

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali katika kijiji cha Nanga, Wilayani Igunga, mkoani Tabora, juzi. Gari hilo lilikuwa likitokea mkoani humo kuelekea Dar es Salaam


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top