Loading...

Songea Vs Takataka damudamu

Manispaa ya Songea ni moja kati ya manispaa zinazokuwa kwa kasi kubwa kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kuongezeka kwa vyuo vya elimu ya juu. Hivyo miundo mbinu yake nayo inahitaji kuboreshwa ili iende sambamba na ukuaji huo. Katika pitapita zangu nimekutana na vizimba vilivyojaa takataka. Mwanzoni sikushituka lakini kadri nilivyozidi kukata mitaa ndivyo nilivyokutana na vizimba vyote vimejaa takataka, hapo ndipo nilipoamua kuwashirikisha nanyi ndugu zangu ili kwa namna moja ama nyingine tuwakumbushe watu wa idara husika waweze kushughulikia tatizo hili.

Baadhi ya picha za vizimba vilivyojaa takataka katika manispaa ya Songea.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top