Loading...

Uchaguzi wa diwani waendelea shwari kata ya Lizaboni

Na songeayetu.blogspot.com

Hali ya uchaguzi katika kata ya Lizaboni katika manispaa ya Songea unaendelea shwari katika vituo mbalimbali vya uchaguzi ambapo hakuna tukio la uvunjifu wa amani kutokea. Jumla ya vituo kumi na mbili vya uchaguzi vimetumika kwa ajili ya kumpata diwani wa kata hiyo. Matokeo ya uchaguzi yanatarajiwa kuanza kuatolewa kuanzia saa kumi na moja na kuendelea siku ya leo. Tutaendelea kupata habari zaidi za kina kuhusiana na uchaguzi huuPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top