Loading...

Nape ndani ya Songea Kesho

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kesho atakuwa katika mkoa wa Ruvuma, katika ziara yake atahutubia wakazi wa Manispaa ya Songea katika uwanja wa zimanimoto kuanzia saa 8 mchana.

katika picha Nape akiwa katika ziara mkoani Iringa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana katika mahafali ya Makada wa CCM kutoka katika vyuo vikuu mkoa wa Iringa, ambapo alikabidhi vyeti kwa wahitimu 230 na kadi za CCM kwa wanachama wapya 148. Picha: Bashir NkoromoPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top