Loading...

UKISTAAJABU YA MUSA....

PICHA zifuatazo zinaonesha viumbe wa ajabu ambao watu walioshuhudia wameshindwa kuvitolea maelezo kuwa ni viumbe gani. Walioshuhudia tukio hilo wanasema viumbe hivyo vilikuwa viwili vilikuwa vikipigana na kiumbe kimoja nilifanikiwa kuua kiumbe kingine na kisha kutokomea katika jumba bovu lililojirani na sehemu vilipokuwa vikipigana.

Maumbile ya viumbe hivyo yanafanana kabisa na maumbile ya binadamu, ila viumbe hivyo ni vidogo sana ukubwa wake ni sawa na kiganja cha mtu mzima.

Tukio hili limetokea katika manispaa ya Songea karibu kabisa na chuo kikuu cha SAUT


Kiumbe kilicho uwawa
Eneo la kichwani ndipo kilipasuliwa na kuna vitu vyeupe vinatokaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top