Lori lenye namba za usajili T 229 AVP jana lilipata ajali mpakani mwa mkoa wa Njombe na Ruvuma na kujeruhi dereva na msaidizi wake
|
| Lori hilo lilikuwa limebeba shehena ya mbolea kwenda mkoani Ruvuma
Majeruhi akiwa amebanwa ndani ya gari
|
| Moja kati ya wasamalia akijaribu kumtoa dereva aliyekandamizwa ndani ya gari bila mafanikio |
| Eneo la ajali - kona iliyomshinda dereva |
| Michubuko katika barabara iliyotokana na ajali hiyo |
| Basi la Super Feo na Sumry yalitoa msaada mkubwa katika ajali hiyo |






Post a Comment