Loading...

Sakata la Uhaba wa Mafuta Songea

WAENDESHA PIKIPIKI NA WENYE MAGARI WAKIWA KATIKA FOLENI NDEFU WAKINGOJA KUUZIWA MAFUTA KATIKA KITUO PEKEE KINACHOUZA MAFUTA KWASASA KATIKA MANISPAA YA SONGEA - KISUMAPAI. FOLENI HIYO IMEANZA ALFAJIRI YA LEO MPAKA MCHANA HUU BADO HALI IPO KAMA INAVYONEKANA KATIKA PICHA. KITUO HICHO KWASASA KIMESIMAMA KUUZA MAFUTA NA WATEJA BADO WAPO KATIKA FOLENI WAKISUBIRI HATMA YA UPATIKANAJI MAFUTA.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top