Loading...

Wachawi wachomwa moto - ukali huu ufanywe kwa mafisadi

VIDEO hii isiangaliwe na watu walio chini ya umri wa miaka 18, Na ingekuwa vizuri kama wasomaji wetu mnapoiangali video hii basi mjitahidi kukaa mbali na mazingira ya watoto kwani tutatengeneza tabia kama hii ya ukatili baina yao.
 
 
 
INASIKITISHA mno kuiangalia video hii lakini hatuna budi sote tukubaliane na ukweli kwamba uchawi si kitu kizuri. Tukio hili linahusisha wachawi wanne (wawili wanawake na wawili wanaume) walipodondoka na ungo walipokuwa katika harakati za kwenda kuroga kwenye nyumba za watu huko NCHINI NIGERIA.

Taarifa zaidi zinaseama kuwa wachawi hao waliodondoka mara baada ya kile kinachhonekana kuwa ni upinzani kutoka kwa wengine wenye nguvu kuliko wao kuidondosha ndege yao(UNGO) kwenye mishale ya saa kumi ALFAJIRI.Kilisikika kishindo kizito sana wakati wa mwanguko huo na hivyo kupelekea wanachi ambao ni majirani wa hapo karibu kuanza kutoka nje kushuhudia ni nini kimetokea na ndipo walipopigwa na butwa pale walipowakuta wachawi hao wanne wakiwa wamedondoka chini huku wakiwa hawana nguvu tena ya kupaa!!

 Wananchi walizidi kuongezeka mno na hivyo kujaza umati katika eneo hilo,Mwandishi wetu ambae yupo kikazi nchini humo alitupenyezea mkasa huo amabo umeshika fikra nyingi ndani na nje ya nchi hiyo kubwa BARANI Africa.

Mwandishi wetu anadai kuwa mara baadaya kukamatwa wachawi hao walikusanya na kuwekwa mbaele ya hadhara ya watu na kuanza kushambuliwa na watu wenye hasira kali.

 Wanachi ambao walionekana kuchoshwa mno na vitendo vya kichawi nchini humo walianza kuwashambulia kwa kuwachapa FIMBO na silaha mbali mbali.HATIMA ya wachawi hao ilifika pale wananchi hao waliwamwagia mafuta na kuwateketeza mpaka kufariki.NARUDIA TENA, video hii inasikitisha mno jamani. kwa hiyo kabla ya kuiangalia ningependa nitoe angalizo lifuatalo;


Kama kawaida yetu binadamu mara nyingi huwa hatufanani mitazamo, kwahiyo ningependa kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa yeyote ambaye VIDEO hii itamkwaza kwa namna moja ama nyingine.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top