Loading...

Lema ashinda rufaa arudishiwa Ubunge

 
via mjengwablog.com


Lema,Mbowe na nassari mahakamani
Mawakili wakiwa kwenye viti vyao
Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema
Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari
Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza
Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana

Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA
Hapa Lema akiwa na Kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema


Hukumu imeangalia haswa swala la Locus Stand ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo. Imeangaliwa kwa kina na kuonekana kuwa kadiri ya pingamizi ya mawakili wa Lema Kimomogoro na Tundu Lissu, waliofungua shitaka dhidi ya Lema hawakuwa na locus stand ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mengine yote yanakuwa null and void. Hukumu haikuchukua hata nusu saa. Hivyo basi Lema ni mbunge halali wa Arusha mjini tangia leo



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top