Loading...

WAZIRI NCHIMBI AZOMEWA AFUKUZWA KATIKA MAANDAMANO YA WANAHABARI

Katika ya isiyo ya kawaida wanahabari jijini Dar es Salaam wamemzomea na kumfukuza katika maandamano ya Kulaani mauwaji ya Daudi Mwangosi Leo jijini DAR.

Hatua hiyo imetokea bawds ya waziri huyo wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi kufika katika viwanja vya jangwani kwa ajili ya kujipa jukumu la kupokea maandamano bila mwaliko.

Kutokana na zomea zomea hiyo ya wanahabari hao dhidi ya waziri NCHIMBI hali ilionekana kuwa si shwari na kupelekea waziri huyo kuondolewa na rais wa UTPC Keneth Simbaya na viongozi wengine wakiwemo askari polisi.

Wakati hayo yakiendelea huko mkoani Mara jeshi la polisi lateka ofisi ya waandishi wa habari Kama njia ya kushinikiza wasifanye maandamano yao.
via francisgodwin blog


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top