via azimioletu.blogspot.com
| Daladala ikiwa imeharibiwa vibaya. |
| Sura ya ndani ya daladala iliyopata ajali |
| Hii ni sehemu ya ndani viti vya nyuma ya daladala. |
| Sura ya daradara kwa mbele baada ya kugongwa kwa nyuma. |
| Lori lililogonga Daradara mbili likiwa limesimama eneo la pundamilia Iyunga. |
| Lori lililosababisha ajali lenye namba za usajili T 721 BYD likiwa limesimama.. |
| Watu wakishangaa lori lililogonga na kusababisha maafa. |
| Sura ya mbele ya lori lililogonga daradara. |
| Watu wakishuhudia daradara iliyogongwa na kusababisha maafa. Hii ni Hii ni daradara yenye namba za usajili T 150 AJL likiwa limeharibiwa vibaya. |
| Daradara ikiwa imeharibika vibaya. |
| Daladala ambayo namba yake ya usajili haikuonekana ikiwa mtaroni baada ya kugongwa kwa nyuma na lori lililomshinda dereva. Kwa pembeni watu wanashuhudia. |






Post a Comment