Loading...

Kumbukumbu ya mashujaa wa Majimaji yafana Songea


PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA KUMBUKUMBU
YA MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI
Mamia ya watu wakiingia katika makumbusho

Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu

Padri Mbano akiongoza sala ya kuwaombea mashujaa

Waumini mbalimbali wakiwaombea mashujaa

Mfano wa Jeshi lililoshiriki vita

Burudani haikukosekana ngoma ya kioda hiyo!

Jamaa alikuwa akitafuna moto kama pipi


Kinywaji hakikukosekana pombe ilikuwa ya bure

Wanafunzi wakinywa pombe ya bure


Baada ya kinywaji waliendelea na kuangalia kumbukumbu mbalimbaliPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top