Loading...

Ajali mbaya yaua Songea

Ajali iliyotokea majira ya saa12 jioni katika mteremko wa Bombambili mjini hapa imesababisha kifo cha mwenda pikipiki. Taarifa za awali za jeshi la polisi zinasema kijana huyo mwenda pikipiki anaitwa Yasin Said mkazi wa Matogoro. Ajali hiyo imejumuisha magari matatu na pikipiki yenye na T 396 ARQ. Magari hayo ni lori, hiace na canter.  
Gari la polisi likiwa linachukua mwili wa marehemu


Mwili wa marehemu ukiwa katika gari la polisiGari la polisi likiingia chumba cha maiti katika hospitali ya mkoa

Sura ya marehemu ikiwa imeharibika vibayaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top