Loading...

Mauaji yaibuka tena SongeaSura ya mwanamke aliyekutwa amekufa ikiwa haitambuliki baada ya kuharibika vibaya
Manispaa ya Songea imekumbwa tena na majonzi baada ya mwanamke mmoja kukutwa akiwa amekufa katika vichaka vya shule ya msingi Majengo. Mwili huo umekutwa ukiwa umeeanza kuharibika, hali inayoonesha kuwa mwanamke huyo amekufa siku kadhaa zilizopita. Mwili huo umekutwa ukiwa hauna nguo sehemu za chini ya mwili huku mnguo za ndani zikiwa pembeni jambo ambalo linaonesha mwanamke huyo yawezekana alikuwa akifanya mapenzi katika kichaka hicho. Hili ni tukio la pili ndani ya wiki moja na nusu kwa mwanamke kukutwa akiwa amekufa katika hali kama hiyo.

 


Mwili wa marehemu pembeni kukiwa na nguo ya ndani

Askari wakichunguza eneo la tukio
Wananchi wakiwa eneo la tukio


Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu


1 comments:

Du! mwili unatisha sana.kweli binadamu wakatili.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top