Loading...

Maandamano CHADEMA yatikisa Songea

Wananchi wa Manispaa ya Songea leo mchana wameandamana kupinga mgao mkali wa umeme unafanywa na shirika la umeme la TANESCO katika manispaa hii. Mgao huu umekuzidi kuwa mkali kwa muda wa wiki mbili zilizopita. Imekuwa kawaida kwa wananchi wa baadhi ya maeneo ya manispaa hii kukosa umeme kwa muda wa siku 2-3, kitendo ambacho kimekuwa kero kwa wananchi.

Maandamano ya leo yameanzia katika ofisi za CHADEMA - Mfaranyaki. Wananchi katika maandamano hayo walibeba taa (kandili), vibatari, mishumaa pamoja na majenereta.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top