Loading...

TANESCO yapiga bra bra tatizo la umeme Songea

Katika hali isiyo ya kawaida jana katika taarifa ya habari ya TBC meneja mahusiano wa TANESCO Badra Masoud, aliendeleza bra bra za shirika hilo kwa kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mtangazaji, ambalo lilisema ni lini tatizo la umeme Songea litakwishwa? jibu lililotakiwa ni lini tatizo litakwisha bali yeye alianza kuzungumzia ujenzi wa gridi ya taifa itakayojengwa kutoka makambako hadi mkoni Ruvuma.
Wananchi wa Songea wamechoshwa na wimbo huo, hizo ni bra bra. wananchi wanataka kuambia ni lini tatizo litakwishwa na sio hadithi za miaka nenda miaka rudi au hadithi za watoto wa kuku kuwa watanyonya kesho.
Wananchi wa Songea baada ya kuchoshwa na bra bra za Tanesco waliamau kuandamana juzi bofya hapaPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top