Loading...

"Vua Gamba Vaa Gwanda" Jangwani palikuwa hapatoshi.

Mitandao ya kijamii ilikuwa bega kwa bega na oparesheni "VUA GAMBA VAA GWANDA"

www.shaabanmpalule.blogspot.com

Mkutano wa CHADEMA LEO


 
 
CHADEMA Wafunga Barabara Kwa Saa 2 Baada Ya Mkutano
 
Wananchi wakitembea kwa mtindo wa maandamano kutoka eneo la mkutano jangwani kuelekea ofisi za CHADEMA kinondoni.
Mh.Mbowe na Mnyika wakiwa wamesimama kwenye gari wakati wa matembezi wakitoka kwenye mkutano
Godbless Lema akiwa juu ya gari huku akishangiliwa na vijana jioni baada ya mkutano
Mbowe akiwatania wanachama ofini kinondoni baada ya wananchi kuanza kudai chama kimfukuze John Shibuda.Alikuwa akijifanya hasikii wanachosema na hapa anajaribu kuwasikiliza zaidi.hata hivyo Mbowe aliwaondoa wasiwasi na kusisitiza kuwa chama kinao utaratibu wa kushughulika na viongozi wanaokiuka maadili ya chama na kuwaomba wawaamini kama viongozi kuwa wanaouwezo wa kulishughulikia jambo hilo na mengine
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwaaga wananchi waliokuwa wamefurika makao makuu ya chama kinondoni walikofika wakitokea jangwani usiku huu
Sehemu ya umati uliowasindikiza viongozi wa chadema toka jangwani hadi kinondoni.wamesambaa yapata saa 2 usiku.
Viongozi wa chadema wakifurahia kadi nyingi za CCM zilizorudishwa leo jioni kwenye mkutano
Sugu akimwaga mistari.
 

Saturday, May 26, 2012

CHADEMA NA KAMPENI YA "VUA GAMBA VAA GWANDA" JANGWANI LEO

Mewnyekiti wa Taifa Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na maendeleo
CHADEMA akiwahutubia wafuasi wa chama hicho leo katika viwanja vya
Jangwani jijini Dar es salaam kwenye uzinduzi wa kampeni yao ya VUA GAMBA VAA GWANDA
ambayo itazunguka mikoa yote ya Tanzania.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Dr Wlbroad Slaa nae akitoa msisitizo juu ya kampeni hiyo ya VUA GAMBA VAA GWANDA.
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoa akizungumza katika mkutano huo.
Halima mdee mbunge wa jimbo la Kawe nae akitoa msisitizo juu ya kampeni hiyo.
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa wamefurika katika viwanja vya Jangwani
jijini Dar es salaam leo
Wafuasi wa chadema wakiwa na furaha
Waandishi wa habari wakiwa kazini ili kupata lile na hili tayari kwa kuijuza jamii juu ya matukioya mkutano huo.
wafuasi wa chadema wakiwa wametulia tulii wakisikiliza seraPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top