Loading...

BONDIA WA TANZANIA APIGWA OLYMPIC

Bondia Kidunda

Bondia Mtanzania Seleman kidunda amedundwa katika pambano la ngumi katika michezo ya olympic jioni ya leo. Mtanzania huyo alikuwa akipambana na bondia kutoka Moldova. Bondia wa Moldova alionekana kumzidi bondia wetu katika raundi zote.

Bondia mtanzania alioneka hana mbinu za kumshinda mpinzani wake na ngumi za bondia wetu zilikuwa dhaifu. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: raundi ya kwanza TZ 2, MOLDOVA 8, raundi ya pili TZ 2 MOLDOVA 5 na raundi ya tatu TZ 3, MOLDOVA 7.
  Timu ya Tanzania katika ufunguzi wa OlympicPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top