Loading...

RAIS WA MADAKTARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTOTII AMRI YA MAHAKAMA


 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi, akisalimiana na madaktari wenzie pamoja na jamaa zake wengine baada ya kupata dhamana. baada ya kuachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu, Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa ajili ya kusomewa shitaka la kutokutii amri halali ya Mahakama Kuu, iliyomtaka kuwatangazia wanachama wa chama hicho kupitia vyombo vya habari, kusitisha mgomo wao.

 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi, akizungumza jambo na Mwanasheria ambaye pia ni wakili wake, Kikondo Maulidi (kushoto), baada ya kuachiwa kwa dhamana, katika  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, alipofikishwa  kwa ajili ya kusomewa shitaka la kutokutii amri halali ya Mahakama Kuu, iliyomtaka kuwatangazia wanachama wa chama hicho kupitia vyombo vya habari, kusitisha mgomo wao.
chanzo:  http://richard-mwaikenda.blogspot.comPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top