Loading...

TAARIFA KWA MADAKTARI WALIOPO KWENYE MAFUNZO YA VITENDO (INTERNS)

 WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS),  WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA  KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA TAREHE 6 JULAI, 2012.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
3/07/2012Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top