Loading...

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MWAKA YA CONFEDERATION OF TANZANIA INDUSTRIES (CTI)

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn. Kulia ni Mwenykiti wa makampuni ya IPP Dkt. Rginald Mengi na Kushoto ni Bw. Arnold Kileo.
Mzee Arnold Kileo akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kwa kutwaa kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa nyanja mbalimbli za uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi na wadau wa  Tanzania Distilleries bada ya kunyakua   kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn.



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top