Loading...

MWENYEKITI WA CCM WILAYA AFARIKI DUNIA SONGEA


 Waombolezaji wakielekea makaburini kumzika aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Mohamed Dizumba Mazishi yamefanyika katika viwanja vya Luhira Songea.huku mvua kali ikinyesha
 Meya wa Manispaa ya Songea Charles Mhagama  baada ya kukesha usiku kucha katika kuandaa mazishiya aliye kuwa mwenyekiti wa CCM Ahamed Didhumba hapo uzalendo umemshinda ana chapa usingizi
 Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katika eneo la Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Songea
 Mamia ya waombolezaji wakiwa katika Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Songea
 Waziri wa Mambo ya ndani Dr Emanuel JohnNchimbi akiwa eneo laLuhilamakaburinialiye simama naye ni Katibu wa Mbunge jimbo la Songea Andew Chatwanga
 Viongozi mbalimbali wa chama na serekari waliohudhuria mazishi ya Ahamed Dhizumbaaliye kuwa mwenyekiti mstahafu wa CCM Wilaya ya Songea
Mwili wa Marehemu Ahamedi Didhumba Ukiteremushwa kaburinimaeneoya luhila manspaa ya Songea


 VIA http://songeahabari.blogspot.com


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top