Loading...

PPF TOWER DAR ES SALAAM INAWAKA MOTO ASUBUHI HII

"Ni JENGO LA PPF LILOKO MAKUTANO YA MTAA WA OHIO NA GARDEN AVENUE katikati ya jiji la Dar es Salaam, mtaa wa Garden avenue linawaka moto mkali.
Kwa sasa moto unatoke kwa juu ya paa ya jengo hilo.
Gari la zima moto na wafanyakazi wa zimamoto wanahagaika kutafuta mbinu na jinsi ya kuweza kufika juu ya jengo, lakini kufuatana na vifaa duni wanapata shida jinsi yakuweza kufika eneo lenye moto.

Vijana wazimamoto wamejitahidi kupunguza kasi ya moto, lakini bado kuna dalili za moshi mzito upande wa kusini mwa jengo.

Hatimaye moto umezimwa eneo lote la jengo. Kwa sasa hakuna dalili zozote za moshi juu ya jengo.


 
HABARI ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII KWA MATUKIO ZAIDIAttached ThumbnailsPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top