Loading...

tujikumbushe ya bungeni dodoma

Mbunge Ubungo (Chadema), John Mnyika
Wabunge wa vyma vya upinzani wakizomea na kupiga kelele za CCM,CCM,CCM,......hali iliyopelekea Naibu Spika Job Ndugai kuvunja kikao cha bunge jana jioni.

Mhe.Nassari(CHADEMA)(kushoto) akiwa na Naibu Spika Job Ndugai nje ya viwanja vya Bunge jana.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa, akionyesha kimoja kati ya vitabu vinavyotumika mashuleni alipokuwa akijibu hoja mbalimbali  zinazohusu elimu baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa  NCCR- Mageuzi, James Mbatia, kuwakilisha hoja yake binafsi ya Udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini.
 Mwanasheria Mkuu Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazir wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla,Jana Bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Iramba Magharibi Mwingulu Nchemba (kulia) akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nasari, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana
 Waziri  wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na   Mbunge wa Korogwe Mjini, Yusuph Abdallah Nassir, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana
 Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo  Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki (katikati) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu  Ester Bulaya, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, jana.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa (kushoto), Mbunge wa Viti Maalumu, Margaret Sitta (wa pili kushoto) na Waziri wa fedha William Mgimwa (mwenye miwani) pamoja na Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia (kulia) wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana,  baada ya Mbunge  James Mbatia kuwaslisha hoja yake binafsi kuhusu Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu nchini.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top