Maandamano ya pikipiki na magari yameanzia ubungo river side, huku maandamano ya watembea kwa miguu yanaanzia sokota kituo cha mafuta cha Oilcom. Maandamano hayo yataelekea kwenye viwanja vya Temeke mwisho ambapo viongozi mbalimbali wa CHADEMA watahutubia..... habari zaidi tutaendelea kuwapatia kupitia www.songeayetu.blogspot.com
Loading...
Post a Comment