Loading...

AJINYONGA BAADA YA KUSABABISHA HASARA YA SHILINGI 1,700,000 KUJINYONGA TUKUYU MJINI MKOANI MBEYA

Picha zote na songeayetu.blogspot.com

MWILI WA MAREHEM VANESA STEVIN KYANDO UKIWA BADO KUSHUSHWA AKIWA AMEJINYONGEA KANGA
KWA MAELEZO YA VYANZO MAREHEM ASUBUHI KABLA YA KUFIKIA HATUA YA KUJINYONGA ALIPIGIWA SIMU NA SHEMEJI YAKE MAALUFU KWA JINA LA LUMAGE IKIMTAKA KURUDISHA PESA ALIZOINGIZA SHOT DUKANI KWAKE TSH 1,700,000/= MILION MOJA NA LAKI SABA AU AMKUTE MAITI.

WATU WENGI WAMESHTUSHWA NA TUKIO HILI KWA KUWA VANESA NI BINTI ANAYEFAHAMIKA SANA KWA UPOLE WAKE NA UCHA MUNGU MAANA HAKUNA ANAYEAMINI TUKIO HILI KUWA NI LA KWELI LAKINI TAYARI BINTI VANESA AMEFARIKI NA AMEZIKWA NYUMBANI KWAO TUKUYU MJINI KATA YA KAWETELE MITAA YA MACHINJIONIASUBUHI HII HAKUNA MTU ANAYEAMINI KILICHOTOKEA

POLICE ADAM AKIWA ANAJIANDAA KUFANYA KAZI YA KUSHUSHA MWILI WA MAREHEM

WAKAZI WA TUKUYU WAKISHANGAA NA WENGI WAKIWA NA MAJONZI BAADA YA KUSHUHUDIA VANESA AKIWA AMEJINYONGA       
Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top