Loading...

#BREAKING NEWS: HILI NDIO JENGO AMBALO LIMEANGUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR

Imetokea leo hii dakika chache zilizopita Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar), Inasemekana Watu wapatao 60 walikuwepo ndani yake.. watoto wa Madrassa walikuwemo katika jengo hili na pia mpaka sasa maiti zilizoopolewa ni 14 na majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospitali, Bado pia kuna baadhi ya watu hai ndani yake.Jitihada za uokoaji zimeanza kufanyika, Waziri Nchimbi tayari amekwishafika eneo la tukio mpaka sasa japo kuna uhaba wa vyombo vinavyostahili kushughulikia hali hii
Picha kwa hisani ya Jamii Forumn


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top