



Akifurahia jambo.
Papa akiwa katika gari aina ya Mercedes Benz G-Class SUV wakati akipita kwenye viunga vya Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Roma.
Umati mkubwa wa watu waliohudhuria tukio hilo leo.
Rais wa Zimbabwe, Mzee Robert Mugabe pamoja na mkewe Grace nao walikuwepo



credit: http://sangafesto.blogspot.com
Post a Comment