Loading...

BUNGENI::MBUNGE AOMBA KUJENGWA CHUO CHA KUFUNDISHA WANAUME KUTONGOZA


Ilikuwa ni kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Celine Kombani ambaye alieleza jinsi baadhi ya wanaume wanavyowachukua wanawake ombaomba au vichaa na kujamiiana nao na kisha wanawatekeleza wanapopata mimba.

Ndipo mmbunge mmoja wa viti maalum CCM alipoinuka kuuliza swali la nyongeza akisema, kwamba wanaume wanaowanyia hivyo hawa walemavu ni kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi wanawake. Hivyo, kwa nini serikali isiunde na kujenga chuo cha kufundisha wanaume kushawishi mwanamke hadi ampate?


Celine Kombani alijibu serikali haiwezi kujenga chuo cha namna hiyo kwani suala la njia ya mwanaume kumtafuta na kumshawishi mwanamke amkubali ni suala binafsi.


credits:sangafesto.blogspot.com Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top