Loading...

HII NDIO KIGOMA: USHAHIDI WA PICHA JAMBAZI SUGU LAKAMATWA,RISASI 1200 NA BUNDUKI HIZI HAPA


Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Fraiser Kashai akionyesha noti bandia zenye thamani ya shilingi 200,000 sambamba na risasi 1200 ambazo alikamatwa nazo mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu.

RISASI 1200 ZILIZOKAMATWA
WAANDISHI WA HABARI WAKIMSIKILIZA KAMANDA KWA MAKINI
NOTI BANDIA ZILIZOKAMATWA
Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Fraiser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya magobore mawili yaliyokamatwa katika msako uliofanywa na polisi mkoani kigoma sambamba na risasi 1200 ambazo alikamatwa nazo mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu.
 
Credits: Reuben Mchome BlogPost a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top