Loading...

LULU AONGOZA WASANII NA WATU WENGINEO KUTEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NA KUKUTANA NA MAMA KANUMBA.

Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo
O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu.Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,
R.I.P Steven Kanumba

credits Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/04/lulu-aongoza-wasanii-na-wengineo.html#ixzz2Pn0Vr4a2
Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top