Loading...

Mbunge wa Mbeya Mjini CHADEMA Aiteka Songea

Matukio katika Picha: Mkutano wa hadhara wa Mh. Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mjini katika kata ya Majengo - Manispaa ya Songea Jana.

Sugu akiunguruma katika viwanja vya kata ya Majengo
Umati wa wananchi ukimsikiliza Mbunge wa CHADEMA

Watoto wakiwa mstari wa mbele katika mkutano
Mtoto mfuasi wa CHADEMA akiwa na mbunge wa Mbeya mjini.Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top