Loading...
Home »
Unlabelled »
TAHADHALI KWA WANASONGEA
Nimekutana na tahadhali hii facebook
Ndg zangu tulioko Songea mjini na vitongoji vyake,imezuka tabia ya baadhi ya madereva pikipiki almaarufu kama madereva yeboyebo kukwapua simu na mikoba aidha ya wapita pembezoni mwa barabara au abiria wao mara wawashushapo.Tulizingatie hili,mimi mbio zangu zilisaidia kuokoa NOKIA yangu toka kwa watu hawa!Tuwe makini
Thursday, May 24, 2012
Post a Comment