Loading...

Zitto Kabwe, Halima Mdee, January Makamba wajitosa katika Bongofleva - kuhamasisha


Wanasiasa Nguli vijana wa Tanzania, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Ester Bulaya na January Makamba wameshirikiana na wanamuziki wa Bongo fleva na taarabu katika wimbo uitwao  "Mboni Yangu". Mastaa wa bongo walioshirikiana nao ni Mwana FA, Ali Kiba, Wema Sepetu, Professor Jay, Mzee Yusuph, Chidi Beenz, Fid Q, Afande Sele, Amini, Ditto, Madee, Peter Msechu, Dina Marios. Lengo la wimbo huo ni kutoa hamasa ya kusaidia matibabu ya msanii Sajuki. Natoa pole kwa Sajuki kwa yaliyompata na tunamuombea kila la kheri apone haraka.
Angalia video ya wimbo huo Bofya hapa Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top