Loading...

Katibu CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ziarani Songea

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Songea J.J. Mkirikiti
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea alipowasili kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa hadhara leo

 Nape akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano huo
 Kina mama wakigara gara chini mbele ya Nape baada ya hotuba yake kugusa kero za wananchi wa Ruvuma
 Nape akipita kwenye kanga alizotandikiwa na kina mama kwenye mkutano huo
 Akisalimiana kabla ya kuondoka Uwanjani

 Nape akishiriki kucheza ngoma
 Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji
Alipofika akasaidia kupiga ngoma


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright songeayetu.blogspot.com | Designed By JUNGUKUU.US
Back To Top